Vumbua POS

App Store App Business Free Soft launch
22 Sept 2026launched 9 days ago
0.00 ratings
n/aApple doesn’t publish installs
Soft launch · 2 countriesIndia, Nigeria
1.80.0 (124)latest version · 4 days ago

Screenshots

About

Vumbua POS ni programu ya duka — kuuza, kufuatilia stoo, na kukumbuka nani anadaiwa nini. Imetengenezwa kwa maduka ya Tanzania, kwa Kiswahili, na inafanya kazi bila intaneti. KUUZA Gusa bidhaa, chagua namna ya kulipa — cash, pesa ya simu, deni au kugawanya — kisha maliza. Risiti inatoka papo hapo: ishiriki kwa WhatsApp, itume kwa barua pepe, au ichape kwa printa ya Bluetooth. BILA INTANETI Mauzo yanaandikwa kwenye simu kwanza. Mtandao ukirudi, kila kitu kinasawazishwa chenyewe. Huna haja ya kusubiri mtandao ili kuuza. STOO Ona kila bidhaa, bei yake, na faida unayotarajia. Programu inakuambia kabla hujaisha — si baada. DENI Andika anayedaiwa na kiasi gani. Ona jumla ya deni la duka lako kwa mtazamo mmoja. SOKO Weka duka lako kwenye ramani ili wanunuzi wa karibu wakuone. Pokea oda kutoka kwao, na jibu maswali ya bei — ukitaka, bila kuonyesha bei hadharani. MADUKA MENGI Kama una matawi zaidi ya moja, yote yapo kwenye programu moja, na kila moja lina stoo na hesabu zake.Read more
Vumbua POS ni programu ya duka — kuuza, kufuatilia stoo, na kukumbuka nani anadaiwa nini. Imetengenezwa kwa maduka ya Tanzania, kwa Kiswahili, na inafanya kazi bila intaneti. KUUZA Gusa bidhaa, chagua namna ya kulipa — cash, pesa ya simu, deni au kugawanya — kisha maliza. Risiti inatoka papo hapo: ishiriki kwa WhatsApp, itume kwa barua pepe, au ichape kwa printa ya Bluetooth. BILA INTANETI Mauzo yanaandikwa kwenye simu kwanza. Mtandao ukirudi, kila kitu kinasawazishwa chenyewe. Huna haja ya kusubiri mtandao ili kuuza. STOO Ona kila bidhaa, bei yake, na faida unayotarajia. Programu inakuambia kabla hujaisha — si baada. DENI Andika anayedaiwa na kiasi gani. Ona jumla ya deni la duka lako kwa mtazamo mmoja. SOKO Weka duka lako kwenye ramani ili wanunuzi wa karibu wakuone. Pokea oda kutoka kwao, na jibu maswali ya bei — ukitaka, bila kuonyesha bei hadharani. MADUKA MENGI Kama una matawi zaidi ya moja, yote yapo kwenye programu moja, na kila moja lina stoo na hesabu zake.

Versions

  1. Version 1.80.0 (124)First seen · 28 Sept 2026

    • Your shop, your choice: a new shop now stays off the Soko until you switch it on. • The free version, said up front: one shop, and one employee per shop. The app tells you before you fill in a form it cannot save. • After the free month, Msaidizi answers one question a day and the AI helpers for adding stock are part of a plan. Selling at the till keeps working. • The product guide asks better questions for clothes and shoe shops, and shoes are counted by the pair. • More screens in Swahili: sign-in, PIN lock, chat, customer history, team, sales reports and more. • Switching shops starts a f…

Countries

Soft launch · 2 countries Soft launch

Apple lists this app in a small set of storefronts, a typical sign of a test or regional launch.

IndiaNigeria

Chart positions

Not seen in the charts we track yet.

Similar apps