Dukani - Simamia biashara yako

App Store App Business Free
5 Oct 2026launched 2 days ago
–No ratings yetRead reviews
n/aApple doesn’t publish installs
Limited release · 25 countriesArgentina, Austria, Belgium, Brazil +21 more
3.7.0latest version · today

Estimated downloads

IndieTower estimate

See how many downloads this app getsEstimates for every app are part of the Indie plan.

Create a free account

Screenshots

About

Dukani — Simamia biashara yako kwa uelewa zaidi Dukani ni programu rahisi na salama ya kusimamia biashara, iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania. Iwe una duka la rejareja, grocery, kiosk, minimarket, jumla au biashara nyingine, Dukani inakusaidia kurekodi na kufuatilia shughuli muhimu za biashara yako kwa urahisi. Jua mauzo yako, fuatilia bidhaa zako, simamia madeni na gharama, na pata picha nzuri ya biashara yako — hata ukiwa huna intaneti. SIMAMIA BIASHARA YAKO Dukani inakusaidia: • Kurekodi mauzo kwa haraka • Kufuatilia bidhaa na stock • Kurekodi manunuzi na kuongeza stock • Kufuatilia wateja na wauzaji • Kusimamia mauzo ya mkopo na madeni • Kurekodi gharama za biashara • Kufuatilia bei ya kununua na kuuza • Kuona taarifa na ripoti za biashara yako Fuatilia STOCK kwa urahisi Jua bidhaa ulizonazo na jinsi stock yako inavyobadilika kutokana na mauzo, manunuzi na marekebisho. Dukani pia inakusaidia kutumia vipimo tofauti kama: - Kipande - Box - Dozen - Kg - Lita na vipimo vingine kulingana na biashara yako. ELEWA MAUZO NA FAIDA YAKO Usiishie kujua umeuza kiasi gani. Dukani hukusaidia kupata picha ya biashara yako kwa kutumia taarifa za mauzo, gharama na bidhaa zako. Jua biashara yako vizuri zaidi na fanya maamuzi ukiwa na taarifa sahihi. BIASHARA YENYE WAFANYAKAZI? - Dukani inaweza kusaidia biashara yenye wafanyakazi kusimamia shughuli za kila siku huku mmiliki akiwa na uelewa wa kinachoendelea kwenye biashara. - Mmiliki anaweza kufuatilia shughuli za biashara bila kutegemea taarifa za maneno pekee. INAFANYA KAZI HATA BILA INTANETI - Huna internet muda wote? Hakuna tatizo. - Dukani imeundwa kufanya kazi hata wakati hakuna muunganisho wa internet. Unaweza kuendelea kurekodi mauzo na kusimamia taarifa za biashara yako. - Internet inapopatikana, taarifa husawazishwa na mfumo kulingana na utaratibu wa Dukani. TAARIFA ZA BIASHARA YAKO - Taarifa za biashara yako huhifadhiwa kwenye kifaa chako na kusawazishwa na mfumo unapopatikana mtandao. - Hii inakusaidia kuendelea kufanya kazi hata maeneo yenye internet hafifu au isiyotabirika. IMETENGENEZWA KWA MAHITAJI YA BIASHARA ZA TANZANIA Dukani imejengwa kwa kuzingatia mazingira halisi ya biashara — kuanzia maduka madogo hadi biashara zinazokua. Lengo ni moja: Kukusaidia kuelewa biashara yako, kuisimamia vizuri na kufanya maamuzi bora. ANZA LEO Pakua Dukani, ongeza bidhaa zako na anza kurekodi biashara yako. Dukani — Biashara yako, mikononi mwako. Terms of Use (EULA): https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/ Privacy Policy: https://dukaniapp.com/privacy-policyRead more
Dukani — Simamia biashara yako kwa uelewa zaidi Dukani ni programu rahisi na salama ya kusimamia biashara, iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na wa kati Tanzania. Iwe una duka la rejareja, grocery, kiosk, minimarket, jumla au biashara nyingine, Dukani inakusaidia kurekodi na kufuatilia shughuli muhimu za biashara yako kwa urahisi. Jua mauzo yako, fuatilia bidhaa zako, simamia madeni na gharama, na pata picha nzuri ya biashara yako — hata ukiwa huna intaneti. SIMAMIA BIASHARA YAKO Dukani inakusaidia: • Kurekodi mauzo kwa haraka • Kufuatilia bidhaa na stock • Kurekodi manunuzi na kuongeza stock • Kufuatilia wateja na wauzaji • Kusimamia mauzo ya mkopo na madeni • Kurekodi gharama za biashara • Kufuatilia bei ya kununua na kuuza • Kuona taarifa na ripoti za biashara yako Fuatilia STOCK kwa urahisi Jua bidhaa ulizonazo na jinsi stock yako inavyobadilika kutokana na mauzo, manunuzi na marekebisho. Dukani pia inakusaidia kutumia vipimo tofauti kama: - Kipande - Box - Dozen - Kg - Lita na vipimo vingine kulingana na biashara yako. ELEWA MAUZO NA FAIDA YAKO Usiishie kujua umeuza kiasi gani. Dukani hukusaidia kupata picha ya biashara yako kwa kutumia taarifa za mauzo, gharama na bidhaa zako. Jua biashara yako vizuri zaidi na fanya maamuzi ukiwa na taarifa sahihi. BIASHARA YENYE WAFANYAKAZI? - Dukani inaweza kusaidia biashara yenye wafanyakazi kusimamia shughuli za kila siku huku mmiliki akiwa na uelewa wa kinachoendelea kwenye biashara. - Mmiliki anaweza kufuatilia shughuli za biashara bila kutegemea taarifa za maneno pekee. INAFANYA KAZI HATA BILA INTANETI - Huna internet muda wote? Hakuna tatizo. - Dukani imeundwa kufanya kazi hata wakati hakuna muunganisho wa internet. Unaweza kuendelea kurekodi mauzo na kusimamia taarifa za biashara yako. - Internet inapopatikana, taarifa husawazishwa na mfumo kulingana na utaratibu wa Dukani. TAARIFA ZA BIASHARA YAKO - Taarifa za biashara yako huhifadhiwa kwenye kifaa chako na kusawazishwa na mfumo unapopatikana mtandao. - Hii inakusaidia kuendelea kufanya kazi hata maeneo yenye internet hafifu au isiyotabirika. IMETENGENEZWA KWA MAHITAJI YA BIASHARA ZA TANZANIA Dukani imejengwa kwa kuzingatia mazingira halisi ya biashara — kuanzia maduka madogo hadi biashara zinazokua. Lengo ni moja: Kukusaidia kuelewa biashara yako, kuisimamia vizuri na kufanya maamuzi bora. ANZA LEO Pakua Dukani, ongeza bidhaa zako na anza kurekodi biashara yako. Dukani — Biashara yako, mikononi mwako. Terms of Use (EULA): https://www.apple.com/legal/internet-services/itunes/dev/stdeula/ Privacy Policy: https://dukaniapp.com/privacy-policy

Store page changes

Title, subtitle, icon, screenshots and price

No changes recorded yet. Each time we check this app we compare its store page with the last one and log what changed. Create a free account and save this app to have its store page checked every day.

Versions

  1. Version 3.7.0First seen · 7 Oct 2026

    - Track customer balances and record full or partial payments. - Manage stock with more precise unit conversions, including fractional quantities. - Update your profile photo and personal details, and find language and theme preferences more easily. - Find reminders and other settings more easily. - Enjoy clearer customer and purchase screens, with improved data saving and syncing.

Countries

Limited release · 25 countries

Apple lists this app in a small set of storefronts, a typical sign of a test or regional launch.

ArgentinaAustriaBelgiumBrazilSwitzerlandChileColombiaCzechiaGermanyDenmarkSpainFranceUnited KingdomIrelandItalyMexicoNetherlandsNorwayPolandPortugalRomaniaRussiaSwedenTurkeyUkraine

Chart positions

Not seen in the charts we track yet.

Similar apps