NSSF App
23 Feb 2025launched 19 months ago
2.959 ratingsRead reviews
n/aApple doesn’t publish installs
Seen in 1 countryTanzania
1.0.6latest version · 7 months ago
Estimated downloads
IndieTower estimateSee how many downloads this app getsEstimates for every app are part of the Indie plan.
Create a free accountScreenshots
About
Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo: a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile): - Kupata taarifa binafsi za usajili. b) Kuangalia Taarifa za Michango: - Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika. - Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari. c) Kupata Taarifa za Michango (Statements): - Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa. d) Uhakiki wa Wastaafu: - Kuona taarifa za mstaafu. - Uhakiki Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.Read more
Mfumo wa "NSSF TAARIFA" umebuniwa mahususi kwa ajili ya wanachama. Mfumo huu unamuwezesha mwanachama kupata taarifa za michango yake kwa urahisi. Kupitia mfumo huu, mwanachama anaweza kufanya yafuatayo:
a) Kuangalia Taarifa za Usajili wake (Member Profile):
- Kupata taarifa binafsi za usajili.
b) Kuangalia Taarifa za Michango:
- Kupata taarifa zote za michango iliyowasilishwa na kampuni katika Shirika.
- Kupata taarifa za michango iliyowasilishwa na wanachama wa hiari.
c) Kupata Taarifa za Michango (Statements):
- Kupata taarifa kamili za michango iliyowasilishwa.
d) Uhakiki wa Wastaafu:
- Kuona taarifa za mstaafu.
- Uhakiki
Mfumo huu unalenga kuwezesha mwanachama kuwa na ufahamu zaidi kuhusu michango yake na kusaidia katika kupanga mipango ya kifedha kwa ufanisi.
Store page changes
Title, subtitle, icon, screenshots and priceNo changes recorded yet. Each time we check this app we compare its store page with the last one and log what changed. Create a free account and save this app to have its store page checked every day.
Versions
- Version 1.0.6First seen · 16 Mar 2026
We made improvements and squashed bugs so your NSSF experience is even better.
Countries
Seen in 1 country
Countries where IndieTower has seen this app in charts, search or store pages.
Tanzania