Alama Barabarani Quiz
Education
Tanzania
1270212407 · se.oscarfridh.VagmarkenQuiz-TZ
Screenshots
Description
• Alama za Barabani - application bora zaidi!
• Maswali mbalimbali yanayofikirisha
• Ufafanuzi mzuri
• Mafunzo yenye ufanisi na yanayochangamsha
• Bora kabisa kwa masomo ya leseni ya udereva
---------------------------------------------------
APPLICATION INA VITU VIFUATAVYO:
• Alama na michoro yote ya barabarani (655)
• Maelezo ya kujitosheleza
• Chemshabongo makini
• Makundi mbalimbali ya alama kwa faida yako
• Matokeo yako huoneshwa kitaalam
• Uwezo wa kutafuta alama unayotaka
• Picha zenye ubora wa hali ya juu
• Michoro nadhifu
• Chemshabongo isiyo na ukomo
• Hakuna matangazo
• Tumia na familia
• Imeboreshwa zaidi kwa ajili ya iPhone na iPad
• Huduma kwa wateja kupitia barua pepe
---------------------------------------------------
Application bora kuliko zingine zote zinazohusu usalama barabarani.
Masomo mema!
---------------------------------------------------
Chanzo: Maelezo yametolewa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Related
Rankings
| Country | Chart | Category | Rank | Captured |
|---|---|---|---|---|
| Tanzania | top-paid | all | #5 | 29 Sept 2026 |
Versions
| Version | Country | Observed | Notes |
|---|---|---|---|
| 1.2.0 | Tanzania | 29 Sept 2026 | Maintenance update |