Bexa Microfinance

Google Play App Finance Free Soft launch
17 Mar 2026launched 7 months ago
–No ratings yet
50+installs on Google Play
Seen in 1 countryTanzania
1.8.0latest version · 37 days ago

Screenshots

About

Kupitia app hii, wajasiriamali wadogo wanaweza kuona taarifa zao za mkopo moja kwa moja bila kufika ofisini. Lengo letu ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa za kifedha na kuwasaidia wateja kusimamia mikopo yao kwa uwazi na ufanisi zaidi. Kupitia Bexa Microfinance App utaweza: • Kufuatilia salio la mkopo wako • Kuona ratiba ya marejesho • Kufuatilia malipo uliyofanya • Kupata taarifa muhimu kuhusu akaunti yako • Kupokea taarifa na arifa za marejesho Bexa Microfinance inalenga kuwawezesha wajasiriamali wadogo kukua kiuchumi kwa kuwapatia huduma rahisi, salama na za kidigitali.Read more
Kupitia app hii, wajasiriamali wadogo wanaweza kuona taarifa zao za mkopo moja kwa moja bila kufika ofisini. Lengo letu ni kurahisisha upatikanaji wa taarifa za kifedha na kuwasaidia wateja kusimamia mikopo yao kwa uwazi na ufanisi zaidi. Kupitia Bexa Microfinance App utaweza: • Kufuatilia salio la mkopo wako • Kuona ratiba ya marejesho • Kufuatilia malipo uliyofanya • Kupata taarifa muhimu kuhusu akaunti yako • Kupokea taarifa na arifa za marejesho Bexa Microfinance inalenga kuwawezesha wajasiriamali wadogo kukua kiuchumi kwa kuwapatia huduma rahisi, salama na za kidigitali.

Versions

  1. Version 1.8.0First seen · 25 Aug 2026

    - Bug Fixes<br>- Improved UI<br>- Improved security

Countries

Seen in 1 country Soft launch

Countries where IndieTower has seen this app in charts, search or store pages.

Tanzania

Chart positions

Not seen in the charts we track yet.

More from Bexa Microfinance

All apps →

Similar apps